Posts

CASH OUT KWA KAMPUNI HIZI ZA BET NA UOKOE MKEKA WAKO

Image
 CASH OUT kwa kampuni hizi za bet Unaweza kujiuliza CASH OUT ni nini Cash out ni kipengele kinachokuruhusu kudhibiti mkeka wako usichanike Mfano umempa yanga dhidi ya simba lakini kwa bahati mbaya simba akapata bao na kuongoza mchezo na unahofia huenda simba akashinda mechi mojamoja hapo ndipo unaweza kuitumia CASH OUT ili kudhibiti mkeka wako usichanike na utapa kias kidogo tofauti na kiasi kile ulichostahiki kushinda na hii ni bora kuliko kupoteza kabisa pia unaweza kupata mpaka asilimia 80 ya kiasi stahiki cha ushindi hii itategemea na odds za mkeka wako Unaweza kufanya CASH OUT kabla mechi kuisha Mechi iliomalizika huwezi kuifanyia CASH OUT Na hizi ni baadhi tu ya kampuni za kubashiri zenye CASH OUT 1-Betway 2-Betpawa 3-Gal sport betting 4-Premier betting 5-Sportybet 6-Winprincess betting 7-Playmaster

Chanzo cha vita kati ya urusi na ukraine

Image
Sababu ya mzozo wa Urusi na Ukraine Mzozo kati ya Urusi na Ukraine ulianza takriban miaka 8 nyuma ukihusisha vikundi vya wanaotaka kujitenga vinavyosaidiwa na Urusi kwa upande flani na Ukraine kwa upand flani. Mzozo huo unahusu hasa hadhi ya Crimea na Donbas.      Mzozo kati ya Urusi na Ukraine ulizuka kuanzia 2021 hadi 2022, ilipodhihirik wazi kwamba Urusi inazingatia kuanzisha uvamizi wa kijeshi dhidi ya Ukraine. Mnamo Februari 2022, mgogoro huo ulizidi kua mkali sana kiasi ambapo mazungumzo ya kidiplomasia hayakufanikiwa na Urusi ikapeleka jeshi katika maeneo ya wanaotaka kujitenga Februari 22 2022. Februari 24, Urusi ilianzisha uvamizi kamili dhidi ya Ukraine   Nitakuletea mtitririko wa kile kinachoendelea Ukraine na urusi katika posti zijazo

Supercup winners

Image
 Real madrid imetwaa ubingwa wa supercup baada ya kuwalaza Frankfurt mabao mawili bila majibu Unaamini real Madrid itaendeleza ubabe wake msimu huu?  Toa maoni yako
Image
SMARTPHONEPESA NI NINI?  ๐ŸŒบ ni kampuni inayokuwezesha kujitengenezea kipato kupitia smartphone yako kwa mda wako wa ziada ๐ŸŒบ Imekuletea njia 14 za uhakika zitazokusaidia kupata faida ya 10000-30000 kwa siku daily  ๐ŸŒบ kujisajili ni bure ila utafungua account yako kwa mtaji wa 12000 tu ili uanze kutengeneza pesa   TYPE ADD ufundishwe na mimi๐Ÿค‘๐Ÿค‘๐Ÿ’ต๐Ÿ’ฐ NI DHAHIRI KWAMBA WENGI TUNAMILIKI SMARTPHONE๐Ÿ“ฑ LAKINI MATUMIZI SAHIHI YA SMARTPHONE HUWA HATUYAJUI LAKINI KIUHALISIA SMARTPHONE YAWEZA KUWA OFFICE YAKO KUBWA SANA NA IKAWA INAKUINGIZIA PESA NASIO KUTUMIA PESA ZAKO KILA SIKU UNGANA NA MIMI LEO HII NIKUFUNZE VILE TUNAIFANYA HII SMARTPHONE ITUINGIZIE PESA NA SIYO KUTUMIA PESA ZETU.. ๐Ÿ’ช๐Ÿฝ SMARTPHONEPESA ndio suluhisho omba link๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿฅณ ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ

Supercup

Image
 Today match Supercup Real madrd vs Frankfurt At Helsinki Olympic stadium What your prediction

Premier league results

Image
 Matoke mechi za ufunguz premier league Man united,Liverpool zakwama  Nini maoni yako